Video: SAILORS GANG- QUEEN B | Lyrics


OVERVIEW OF: Video: SAILORS GANG- QUEEN B | Lyrics


Posted by 6 months ago

Video: SAILORS GANG- QUEEN B | Lyrics

Another banger from Sailors #QueenB Machine is all about appreciating the ladies who are well endowed with that “bee like shape”.

A big thank you to everyone who continues to support Sailors in their music voyage.

Watch the song Here

Lyrics: SAILORS GANG- QUEEN B

QOQOSJUMA:

Noma sana! Sailors Gang 107! Eeeh! Piga hiyo ngoma, cheza hiyo ngoma maaan! Oya DJ! Cheza hii ngoma maaan!eeeeh! 107!

MIRACLE BABY:

Ni Sailors…Ki-riddim hivi ai! (hahahah! WU!) We aka kadem kako fity kukula ndo nimebakisha umbo fixed ya kulika weka kando malkia nyuki malkia nyuki malkia nyuki yaani queen bee machinneeee Kako na queen bee sema queen bee machinee(huuu!Queen Bee machine!) Kamebeba steki bigi ni ka queen bee machinee(Huuu! Queen Bee machine!) Kakiinama ziachane ni ka queen bee machinee(huuu! Queen Bee machine!) Na ikizidi iume nguo ni ka queen bee machine (Huuu! queen bee machine! Umbo la nyuki yani yani yani queen bee machine (huuu! queen bee machine!) Aah queen bee machine sema queen bee machine (Huuuuu queen bee machine) Nasema queen queen queen bee machine (Huuu! Queen Bee machine!) Aaaah queen queen queen bee machine

SHALKIDO:

Kako na Queen Bee machine ikus pogna matin Basi leta hio ikus sitambui ka ina tint Geuza diaba nikunyuke basi leo utatii Ka ni ngotha wacha kwako we kam na kamisi Nikithani roady narrow kustukia ni mtaro Mi si fresha kwa mastingo nitakushika ki-wheelbarow Na ukianza kuwika nitakumwagia hadi etha Nikugurumishe shimolo utathani mi hucheza pernol

CHORUS BY MIRACLE

BABY LEXXY YUNG:

Mih ni Machine kwanza izo sides za pumpin Pumpin pumpin niko pumpin Back up kwanza weka thutha parkin Booty so juicy got mafisi Wantin Kwa ii game tucheza kimasaku Chezwa rough nigga ukilete udaku Tokwa mrosho ulilie tu kwa bafu Nishamkeba nmpiga bafu chafu

CHORUS BY MIRACLE

BABY MASILVER:

Touch tu ni mbili najua utatosheka Zikubebe ujipate umejibeba kujibeba Sii ni kweli unatesa, umeweza kuna venye umejiweka umejibeba kuna venye unanicheki siwezi lenga pia nishalikey hiyo looku kuna venye naitaka hiyo kitu..kitu..kitu

Facebook
Twitter
YouTube
Instagram


About Mgenge Mwenyewe 297 Articles
Your Business is my business :)

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*